top of page

Golden Boy Award 2017

  • Writer: Steve Maganga
    Steve Maganga
  • Sep 19, 2017
  • 1 min read

*DEMBELE,MBAPPE,RASHFORD,G.JESUS NA SOLANKE KUWANIA TUZO YA KINDA BORA WA DUNIA.* (Maarufu kama Golden boy Award 2017) Na JR910 Hii ni tuzo ambayo inahusisha vipaji vipya katika ulimwengu wa soka kila mwaka na kwa mwaka huu vijana walotajwa hapo juu nao wamebahatika kuwepo katika listi ya wanaowania tuzo hii. Wachezaji bora wa dunia kwa wenye umri chini ya miaka 21 watashindana kuwania tuzo hii,huku mshindi akipatikana baada ya jopo la waandishi wa habari 30. Ifuatayo ni listi ya wachezaji 25 wanaowania tuzo hii:- Aaron Martin - Espanyol Jean-Kevin Augustin - RB Leipzig Rodrigo Bentacur - Juventus Steven Bergwijn - PSV Dominic Calvert-Lewin - Everton Federico Chiesa - Fiorentina Ousmane Dembele - Barcelona Amadou Diawara - Napoli Kasper Dolberg - Ajax Gianluigi Donnarumma - Milan Gabriel Jesus - Manchester City Joe Gomez - Liverpool Benjamin Henrichs - Bayer Leverkusen Borja Mayoral - Real Madrid Kylian Mbappé - Paris Saint-Germain Emre Mor - Celta Vigo Reece Oxford - Borussia Monchengladbach Christian Pulisic - Borussia Dortmund Marcus Rashford - Manchester United Allan Saint-Maximim - Nice Dominic Solanke - Liverpool Theo Hernandez - Real Madrid Youri Tielemans - Monaco Enes Unal - Villarreal Kyle Walker-Peters - Tottenham. *Mshindi wa tuzo hii kwa mwaka huu ( 2017) atatangazwa mwezi wa kumi.* 

Comments


bottom of page